Takwim za waathirika ukimwi tanzania

Posted on 06.12.2020 Comments

Hamisi Kigwangallah. Mungu Mkubwa! Dawa mpya ya kupambana na Virusi vya Ukimwi VVU imegunduliwa na kuanza kutumika nchini Kenya ambapo ndani ya muda mfupi tangu ianze kutumika, imeonesha mafanikio makubwa na kuleta faraja kwa waathirika pamoja na ndugu zao kwenye ukanda mzima wa Afrika Mashariki, ikiwemo Tanzania.

Kenya imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuanza kuitumia dawa hiyo ya vidonge ambayo imeonesha ufanisi mkubwa wa kuzuia virusi visiendelee kuzaliana huku ikiviua vile ambavyo tayari vipo mwilini na hivyo kuboresha na kurefusha maisha ya maelfu ya watu wanaosumbuliwa na magonjwa nyemelezi na ambayo hayakubali tiba nyingine.

Siku ya Ukimwi Duniani: Jamii inayoogopa kuonekana waasherati kwa kupima Ukimwi

Kwa mujibu wa daktari mmoja aliyezungumza na gazeti hili kwa masharti ya kutoandikwa jina gazetini, Dolutegravir au Tivicay ambalo ni jina lake la kibiashara, ni dawa ya vidonge ambayo mpaka sasa ndiyo inayotajwa kuwa na uwezo mkubwa wa kupambana na VVU HIVbaada ya kuanza kutumika nchini Marekani mwaka na kuonesha mafanikio makubwa. Kwa kawaida, mtu anapopata Virusi vya Ukimwi, kila kirusi hupitia hatua saba kabla ya kuzalisha virusi vingine vingi.

Watu Ambao Wanapata VVU Ila Hawawezi Kupata UKIMWI

Hatua hizo huanza kwa kirusi kujishikiza kwenye moja ya seli zinazolinda mwili. Baada ya hapo, kirusi kinatengeneza utando na kufunika seli zinazolinda mwili, kisha kinajipenyeza mpaka ndani kabisa ya seli.

Baada ya hapo, kirusi huzalisha kichocheo cha integrase kinachokiwezesha kupenya mpaka kwenye kiini cha seli kisha kwa kwa kutumia vinasaba vya seli iliyopo kwenye kiini, kirusi huanza kuzalisha protini maalum HIV-Protein kwa wingi.

takwim za waathirika ukimwi tanzania

Protini hii, baadaye ikiungana na kichocheo kiitwacho protease kinachozalishwa na kirusi aliyepo mwilini, hubadilika na kuwa virusi vingi vipya ambavyo baadaye huchomoza nje ya seli vilikozalishwa, navyo huanza kushambulia seli nyingine kwa mfumo uleule na kusababisha kasi ya kuzaliana virusi ndani ya mwili kuwa kubwa sana. MwakaShirika la Afya Duniani WHO lilipendekeza DTG iwe chaguo la kwanza kwa watu wazima na vijana, lakini hadi siku za karibuni watu wanaoishi na VVU katika nchi kama Kenya, walikuwa hawawezi kupata dawa hizo kutokana na uhaba wake.

Zipo taarifa kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanakwenda Kenya kuzifuata dawa hizo ili wazitumie kutokana na wanayoyasikia kutoka kwa waliozitumia, jambo linalowafanya wengi wakae mguu pande, mguu sawa kuzifuatilia. Godfrey Chale ambaye aliwahi kufanya kazi Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alipozungumza na gazeti hili, alisema dawa hizo hazijafika hapa nchini lakini zimetokana na utafiti uliofanyika Kenya.

Waziri wa Afya wa Kenya, Dkt. Cleopa Mailu. Alisema utafiti kama huo uliwahi kufanyika Muhimbili na kuhusisha baadhi ya askari polisi, lakini hajui uliishia wapi hivyo akashauri tuwaulize mawaziri wanaohusika na wizara ya afya. Alipotafutwa Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu hakuweza kupatikana jana kuzungumzia dawa hizo kutumika nchi jirani na kama Tanzania ina mpango wowote wa kuingiza dawa hiyo nchini.

Hata alipotafutwa naibu wake, Dk. Hamisi Kigwangallah kwa njia ya simu, simu yake iliita bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe wa maandishi kuulizwa, hakujibu.

takwim za waathirika ukimwi tanzania

Akizungumza kwenye mkutano wa waandishi habari mjini Nairobi, Jumatano iliyopita, Dk. Peter Kimuu, ambaye ni mkuu wa idara ya sera za afya na mipango katika Wizara ya Afya ya Kenya, alisema dawa hiyo mpya haina madhara mengi kwa wagonjwa wanaoishi na HIV na haina hatari ya dawa kuwa sugu. Alisema DTG ni nzuri kwa vile ina madhara madogo sana kulinganisha na dawa nyinginezo.

Martin Sirengo, alikuwa na furaha alipokuwa anazungumza juu ya matibabu hayo mapya. Hata hivyo alisema bado changamoto kubwa iliyopo ni upatikanaji wake. Ni dawa mpya kwa hiyo uzalishaji wake utachukua muda na tunaanza polepole. Ogutu alianza kutumia dawa hizo mwaka huu kwa sababu tiba nyingine hazikuwa zinamfaa.Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya.

Ni takribani miongo sita sasa tangu virusi vya ukimwi vilipothibitishwa kuepo.

Siku ya Ukimwi Duniani: Jamii inayoogopa kuonekana waasherati kwa kupima Ukimwi

Mamilioni ya watu wamekufa kutokana na ugonjwa huo na wengine wakiwa wanaishi na virusi vya Ukimwi. Kadri muda unavyoenda wanasayansi wakiwa wanapambana kupata tiba au hata chanjo ya virusi hivyo, watu wamejifunza jinsi ya kuishi na virusi hivyo.

takwim za waathirika ukimwi tanzania

Katika jimbo la Wajir kaskazini mwa Kenya ni eneo ambalo utamaduni na dini zimechukua nafasi kubwa na kufanya jamii kuwanyanyapaa zaidi waathirika wa virusi vya Ukimwi. Adhana husikika mara tano kwa siku kuwakumbusha watu kwenda msikitini kwa sala katika mji mzima. Eneo hili ambalo lina wakazi wengi waislamu. Wajir iko karibu na mpaka wa Somalia, wenyeji wa eneo hilo ni wasomali ambao wana ongea lugha moja na wana tamaduni moja.

Saadiya ni miongozi mwao ambaye anaishi katika eneo hili akiwa na watoto watatu.

Dell md1400 configuration

Mtoto wake wa kwanza ambaye anasoma ana umri wa miaka Saadiya hawezi kusimama mwenyewe. Yeye ni muhathirika wa virusi vya ukimwi. Amekuwa akipambana na umaskini peke yake kuwalea watoto. Sijamuona au sijasikia kutoka kwa mume wangu tangu mwaka Hicho ndicho kipindi ilinibidi nimpeleke mwanangu hospitalini pia. Madaktari walivyompima walimkuta ameathirika pia na virusi vya ukimwi.

Walinipima mimi pia na kunikuta nimeathirika. Saadiya anasema kuwa alishtuka sana kusikia hiyo taarifa. Lakini hakuwa amejiandaa kuwa angekutana na changamoto hiyo. Mara tu tatizo hilo linapogunduika kwa umma, anatengwa.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudhibiti Ukimwi katika Halmashauri hiyo ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Dia Kambi alisema hali hiyo ni mbaya na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa.

Alisema changamoto kubwa inayokabili huduma hiyo ni pamoja na waathirika kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu madhara ya kuacha kutumia dawa hizo. Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.

Kelly aomba kutoka jela, kisa Corona. Corona yaondoa maisha ya Allen Garfield. D ammwagia sifa Wema Sepetu. Chynna Rogers afariki dunia. Virusi vya corona vyakosesha watu burudani msimu wa Pasaka. Ukitaka kupata mwenza sahihi anza kubadili mwenendo wako. Hifadhi Afrika zafungwa kuepuka nyani kuambukizwa corona. Usiwe mwepesi kutoa ushauri kwa mtu.

Mkakati wa Kupambana na Unyanyapaa wa VVU Tanzania!

All Michezo Kimataifa Michezo Kitaifa. Simba kumshtaki Mwakalebela TFF. Kisa Chama,Simba yaijia juu Yanga. Kocha Simba: Nataka ubingwa wa jasho. Habari Kuu Kitaifa. Sh bilioni kumalizia maboma ya madarasa, zahanati. CAG aibua utata makusanyo ya Sh bilioni Wanafunzi kubaki nyumbani kwa muda usiojulikana. Please enter your comment! Please enter your name here. You have entered an incorrect email address! Haki zote zimeifadhiwa.Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika hilo hapa nchini, Kate Spring wakati wa maadhimisho ya siku ya kupambana na ubaguzi na unyanyapaa dhidi ya wanawake na wasichana wanaoishi na virusi vya Ukimwi.

Alisema kundi hilo linaongoza pia kwa kupata maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi ambapo kwa wiki wasichana wanaoambukizwa nchini kote. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya watu wenye ulemavu, Stella Ikupa, alisema jamii inapaswa kuacha ubaguzi kwa watu wenye virusi vya Ukimwi, huku akibainisha kuwa Serikali itazungumza na viongozi wa dini kuweka utaratibu wa kutoa elimu kwa waumini.

Alisema bado kumeendelea kuwa na unyanyapaa mahala pa kazi hatua aliyoziagiza taasisi mbalimbali kupitia upya sera zao kwa kuleta usawa na kwamba Ukimwi ni ugonjwa kama ulivyo ugonjwa mwingine. Alisema kundi la wasichana ndio wanaotakiwa kupewa kipaumbele zaidi ikilinganishwa na wanawake kutokana na kuwa na kiwango cha juu cha maambukizi.

Itakumbukwa juzi, Mkurugenzi Mtendaji wa Unaids, Winnie Byanyima, akitoa ujumbe wake kwa dunia, alisema mapambano dhidi ya ugonjwa huo hayatenganishwi na kupigania haki za wanawake na pia mapambano dhidi ya aina zote za ubaguzi.

Calendario sorteos jps 2020

Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Kelly aomba kutoka jela, kisa Corona. Corona yaondoa maisha ya Allen Garfield. D ammwagia sifa Wema Sepetu. Chynna Rogers afariki dunia. Virusi vya corona vyakosesha watu burudani msimu wa Pasaka.

Sapne me chuhe ka aana

Ukitaka kupata mwenza sahihi anza kubadili mwenendo wako. Hifadhi Afrika zafungwa kuepuka nyani kuambukizwa corona. Usiwe mwepesi kutoa ushauri kwa mtu. All Michezo Kimataifa Michezo Kitaifa. Simba kumshtaki Mwakalebela TFF. Kisa Chama,Simba yaijia juu Yanga. Kocha Simba: Nataka ubingwa wa jasho. Home Afya na Jamii Wasichana waambukizwa Ukimwi kwa wiki. Afya na Jamii. Marufuku kutoka nje yaongezwa kwa siku Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania inatambua nguvu kubwa waliyonayo viongozi wa dini katika jamii na itaendelea kutoa ushirikiano wa dhati katika kuyatekeleza na hatimaye kufikia malengo yanayotarajiwa katika mwitikio wa UKIMWI Tanzania.

Ametoa kauli hiyo Jumanne, Machi 10, kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma wakati akizungumza na viongozi wa dini, wabunge, na wadau mbalimbali wa mashirika ya WAVIU kwenye uzinduzi wa kampeni ya kushirikisha viongozi wa dini kutokomeza unyanyapaa ili kufikia malengo ya kitaifa ya mwitikio wa UKIMWI nchini.

Akizungumza na viongozi hao, Waziri Mkuu amesema ana imani kubwa watalisimamia vizuri suala la unyanyapaa na ukatili wa kijinsia kwa kuwa jamii inawasikiliza, inawaheshimu na kuwaamini sana wao kuliko inavyowasikiliza wanasiasa au hata wanavyosikiliza na kuamini vyombo vya habari.

Niendelee kuwaomba viongozi wetu wa dini kupitia ibada katika madhehebu yenu, vyombo vyenu vya habari, jumuiya, makongamano mbalimbali, taasisi zenu za elimu na afya, tuhakikishe tunatoa ujumbe wa kutia hamasa, elimu na upendo ili hatimaye wanaume, vijana na watoto wengi wazifikie huduma za VVU sambamba na kutambua haki na usalama wa mtoto. Amesema Tanzania inaungana na nchi nyingine duniani zinazoamini katika kutokomeza unyanyapaa na ubaguzi wa aina zote lengo likiwa ni kutokomeza ubaguzi uwe wa kiitikadi au kijamii.

Mtu huhofia kwamba ikijulikana ana maambukizi atabaguliwa na hivyo, kuishi maisha ya mateso yatokanayo na msongo wa mawazo na aibu ya kunyanyapaliwa. Princess Kasune 45 na Bi. Pundensiana Mbwiliza 25mfanyabishara ya mikoba ya vitenge kutoka Mwanza, Tanzania ambao wameishi na VVU kwa kati ya miaka 10 - 25 na wamekuwa mstari wa mbele kuvunja ukimya kuhusu hali zao na kupiga vita unyanyapaa. Job Ndugai alisema uamuzi wa kujuisha viongozi wa dini kwenye masuala ya kitaifa ulianza mwaka jana jijini Mwanza ambako waliowaomba viongozi wa dini wawasidie kuihamasisha jamii kuhusu tatizo la ugonjwa wa kifua kikuu.

Matukio zaidi yanayokuja:. Radio Ratiba CH.View my complete profile. Urahisi wa safari za kimataifa bila shaka umekuwa moja ya sababu kubwa za uambukizaji wa haraka wa HIV. Asilimia kubwa ya maambukizi haya yametokea katika nchi zinazoendelea ambapo njia kuu ya kuambukizana ni kwa njia ya kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke.

Wasafiri wanakadiriwa kuwa na uwezekano wa kuambukizwa virusi vya HIV mara zaidi wakiwa nje ya nchi zao, kuliko wakiwa nchini kwao nyumbani. Ukimwi husababishwa na kirusi cha HIV. Kirusi hiki hushambulia kinga ya mwili na kuusababisha ushindwe kupigana na magonjwa. Inaweza kuchukua miaka mingi kwa dalili za ugonjwa kujionyesha tokea unapoambukizwa.

Hivyo mtu akionekana ya kwamba ana siha nzuri, siyo kwamba mtu huyu hajambukizwa virusi vya HIV. Kirusi cha HIV hupatikana katika damu, shahawa na majimaji katika uke. Uambukizaji hutokea wakati kirusi kinapotokea katika mwili wa mtu aliyeambukizwa na kuingia katika mzunguko wa damu wa mtu mwingine.

Hii hutokea kwa jinsi zifuatazo:.

takwim za waathirika ukimwi tanzania

Kujamiiana kwa njia ya uke, njia ya haja kubwa, kutumia midomo, na kujamiiana bila kutumia mipira ya kiume Kondomu. Ngozi kujeruhiwa na kitu chenye ncha kali kilicho na virusi vya ukimwi kama nyembe za kunyolea na kutahiria na sindano zinazotumika kuchorea miili, kutogea masiko, kuchanjia na kwa ajili ya huduma za afya katika nchi zinazoendelea. Mgonjwa kupewa damu iliyoambukizwa na virusi vya HIV. Mbu, kusalimiana, makalio ya vyoo vya kukalia, kukohoa au kupiga chafya, kuogelea. Kuacha kujamiiana ndiyo njia pekee ya kujizuia na magonjwa ya zinaa.

Lakini kama unashindwa kujizuia kufanya mapenzi tumia kondomu kwa usahihi. Kondomu inayotumiwa kwa usahihi ndiyo njia pekee ya kujizuia dhidi ya HIV na magonjwa mengine ya zinaa isipokuwa warts, herpes na chawa.

Baadhi ya nchi huhakikisha kwamba damu anayopewa mgonjwa, lazima ipimwe kama ina virusi vya HIV lakini nchi nyingine huwa hazifanyi hivyo. Kama umeumia au unaumwa jitahidi kuepuka au kuahirisha kupewa damu isipokuwa kama ni lazima iwe hivyo.Wakati wataalamu hao wakifikia hatua hiyo muhimu katika kupata jibu la janga hilo lililoitesa dunia kwa miongo kadhaa sasa, kuna taarifa njema pia za kugunduliwa kwa chanjo mpya ya Ukimwi.

Kwa upande wa utafiti wa ARV walioufanyiwa majaribio kwenye sehemu mbalimbali za dunia, umebaini kuwa mtu ambaye anatumia dawa za kurefusha maisha, anaweza kufanya tendo la ndoa bila ya kutumia kondomu na mtu ambaye hana Ukimwi na asimwambukize kwa asilimia Profesa Eshleman alisema kwamba muathirika wa VVU anayetumia ARV kikamilifu anaweza kujamiiana na mtu ambaye hana virusi bila kondomu na asimwambukize.

Walivyogundua njia Profesa Eshleman anasema utafiti huo walioupa jina la HPTN walifanya kupitia maeneo mbalimbali ya dunia hasa yenye kasi kubwa ya maambukizi kama vile Afrika, Brazili, India na Thailand. Kwenye ripoti hiyo ambayo pia ilichapishwa kwenye jarida maarufu la kisayansi linaloitwa Science, watafiti hao wanasema kwamba mtu anapotumia ARV, hufikia wakati fulani wingi wa virusi mwilini hupotea kiasi kwamba anakuwa karibu sawa na yule ambaye hajaambukizwa.

Ni katika mazingira hayo, ripoti hiyo inasema kuwa damu ya muathirika inakuwa haina virusi na hivyo uwezekano wa kumuambukiza mpenzi wake unakuwa haupo. Ripoti hiyo inaeleza kuwa ARV inafanya kazi mbili, kwanza kurefusha maisha ya muathirika kwa kupunguza virusi mwilini na pili ni kumkinga asiambukize wengine.

Sifa nyingine ya ARV, anasema ni kwamba inapunguza uwezekano wa waathirika kupata ugonjwa wa Kifua Kikuu TB kutokana na kiwango cha kinga za mwili kupanda. Onyo la utafiti Pamoja na kwamba njia hii imeonekana kuwa ni nzuri kwa ajili ya kuzuia maambukizi, wataalamu hao wanasema ni hatari pale itakapotumika vibaya.

Hatari wanayoizungumzia ni kwa muathirika iwapo atatembea na mpenzi ambaye ni muathirika, lakini akawa hajatumia ARV au ametumia, lakini siyo kwa kiwango ambacho VVU vimepunguzwa hadi kufikia karibu na sifuri.

Watalaamu hao wanasema iwapo muathirika atapata maambukizo mapya, atajiweka katika hatari ya kupata usugu kwa aina ya ARV anayotumia. Ili kuwaweka katika mazingira salama, wataalamu hao wamewashauri waathirika wanaotumia ARV kutobweteka na badala yake kuendelea kutegemea kondomu kama moja ya njia za kuzuia maambukizo mapya na kuimarika kiafya.

Kwa sasa zipo aina nane za chanjo za Ukimwi duniani ambazo wataalamu wapo kwenye hatua mbalimbali za majaribio na wamekuwa wakizielezea kuwa zina matumaini. Wataalamu wengine pia wakauelezea kuwa mtu anaweza kuuchukulia kama ni utani, lakini ni jambo ambalo litaleta mapinduzi makubwa ya kukabiliana na VVU.

Profesa Eshleman alisema utafiti wao utafungua urahisi wa njia ya wanasayansi wanaoendelea na tafiti nyingine kuwa katika mazingira mazuri ya kutatua tatizo hilo. Profesa Eshleman anasema mkakati walio nao kwa sasa ni kufanya uchunguzi zaidi wa njia hiyo katika ngazi ya kijamii na kimataifa. Alisema anaamini kwamba njia hiyo itakuwa na matokeo mazuri katika ngazi hiyo kabla haijathibitishwa rasmi kutumika kimataifa.

Kusini waiwekea mkakati Serikali ya Afrika Kusini tayari imeweka mkakati wa kutumia njia hiyo kuliokoa taifa hilo lenye kasi kubwa ya maambukizo kuliko mengine duniani.

Mmoja wa wataalamu wa afya wa nchi hiyo, Dk Brian Williams, anasema tayari wamefanya tathmini na kuona baada ya miaka mitano watakuwa wamefanikiwa kuyakabili maradhi hayo.

Kutokana na uzoefu wake, Williams alisema utafiti huo utasaidia waathirika kuwa katika mazingira mazuri ya kupatiwa chanjo ambayo ipo mbioni kupatikana. Tanzania ipo pazuri Tanzania ni moja ya nchi ambazo matumizi ya ARV kwa waathirika ni makubwa kutokana na mpango wa Serikali wa kuwapatia dawa hizo bure kote nchini. Tangu Rais Jakaya Kikwete atangaze mpango wa kupima kwa hiari miaka michache baada ya kuingia madarakani, aliwahakikishia wale wote watakaojikuta wameambukizwa, watapatiwa dawa za kurefusha maisha bure.

Download lagu cinta luar biasa versi akustik planetlagu

Mwananchi Jumapili lilipowasiliana kwa njia ya simu na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hadji Mponda, alisema asingeweza kulizungumzia suala hilo kwa kuwa hakuwa ofisini na asingependa kuzungumza kwa njia ya simu.

Shara alikiri kuwa wataalamu nchini wamekuwa kwenye tafiti mbalimbali za VVU na kwamba hata suala la ufanisi wa dawa za ARV wamekuwa wakiujadili mara kwa mara kupitia vikao na semina mbalimbali. Lakini akasema suala la utafiti huo wa Marekani lilijadiliwa kwenye mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam karibuni.